Thursday, 23 May 2013

VIDEO INAYO ONYESHA BAADHI YA VURUGU ZILIZOTOKEA JANA MKOANI MTWARA BAADA YA KUSOMWA KWA BAJETI BUNGENMtu mmoja amefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa katika vurugu zilizoibuka mkoani Mtwara baada ya bajeti ya
wizara ya nishati na madini kusomwa ambapo pia ofisi za CCM wilaya ya
Mtwara vijijini imeteketezwa moto pamoja na nyumba nyingine nne ikiwemo nyumba ya mbunge na mwandishi wa habari wa TBC. kwa habari saidi na picha tazama hiyo video hapoa ilioripotowa jana. .0 comments:

Post a Comment